MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, March 10, 2012

Azama yailambisha ice Yanga 3-1

mashabiki wa Azama wakishangilia baada timu yao kuilambisha yanga ice 3-1 katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

Mwamuzi wa mchezo kati ya yanga na Azam, Israel Mjuni akikwepa konde la mchezaji wa yanga, Stephen Mwasika wakati wa mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanj wa Taifa Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment