MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 7, 2011

maandalizi ya Sherehe za miaka 50 ya Uhuru


 Vifaa vya kijeshi vikiwa katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam kwa ajili ya maandali ya Sherehe hizo zitazofanyika Desemba 9

 Vijana wa haraiki wakiwa katika maandalizi





Waendesha baiskeli nao wakiwa katika maandalizi

No comments:

Post a Comment