MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 7, 2011

Airtel yazindua huduma ya kutuma fedha

Waziri wa fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo pamoja na Mkurugenzi
wa Airtel Money Kelvin Twisa wakizindua huduma ya Airtel Money
wakati wa ,hafla iliyofanyika, Dar es Salaam, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Airtel Tanzania, Sam Elangallor akishuhudia tukio hilo.

No comments:

Post a Comment