MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, December 18, 2011

NBC- MD'S ENDS OF YEAR STAFF PARTY

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akikaribishwa ukumbini wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Kilimanjaro

 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC, Lawrence Mafuru akizungumza wakati wa hafla hiyo
 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo wakijumuika katika hafla hiyo muda mfupi baada ya Mkurugenzi Mtendaji kuwakaribisha na kutoa shukrani kwa kazi nzuri iliyofanyika kwa kipind chote
Kama kawaida yake Mr Kibonde alitoa maneno ya kuchekesha na akiwa kama MC wa hafla hiyo  
 Mafuru (kushoto) na watendaji wengine wa benki hiyo wakizungumza mambo ya hapa na pale hasa jinsi ya kuiboresha benki hiyo ambayo inazidi kusonga mbele.
 Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wenzi wao wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo wakati akizungumza mambo mablimbali ya benki hiyo na changamoto zinazowakabili
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Lawrence Mafuru akisisitiza jambo
 Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakijumuika kupata chakula cha jioni wakati wa hafla hiyo
 katika hafla hiyo burudani haikukosekana hapa mwanadada wa muziki wa Kizazi kipya kutoka THT, Lina Sanga akiwaburudisha
 wafanyakazi wakicheza muziki wakati wa hafla hiyo
 Mc Kibonde naye hakubaki nyuma katika Muziki hapa akionekana kuwaongoza katika kucheza
 Miziki tofauti ilipigwa hapa mambo ya pwani
 Muziki wa pwani unawapenzi wengi hapa baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wanaonekana wakiwa wamemudu kucheza muziki wa aina hiyo
 Mafuru katika akijadiliana jambo
 Mafuru akizungumza
 Hafla hii vilevile iliruhusiwa kuja na wenza hapa  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mafuru akimkaribisha mwennza wake Noella Mafuru katika hafla hiyo
 Kazi na dawa hapa,  Mafuru akiwaongoza kuchuku chakula cha jioni


 Lina akijumuika kucheza na kuimba na baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo


Hapa ni Muziki tu mpaka mwisho ndivyo mambo yalivyokuwa katika Hafla hiyo iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC

No comments:

Post a Comment