MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 10, 2018

BENKI YA NIC YAANDAA FUTARI KWA AJILI YA WATEJA WA BENKI HIYO

 Kaimu Mkurugenzi wa benki  ya NIC, Mick Karima akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja
 Kaimu Mkurugenzi wa benki ya NIC (kushoto) akiwaongoza wateja wa benki hiyo kuchukua futari


 Wafanyakazi na wateja wa benki ya NIC wakichukua futari


 Wafanyakazi wa benki ya NIC na wateja wa benki hiyo wakipata futari
 Wateja na wafanyakazi wa benki ya NIC wakifuru futari iliyoandaliwa na benki ya NIC

 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NIC
Natasha akimkaribisha Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NIC,  Mikc Karima

No comments:

Post a Comment