MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, April 19, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na viongozi wa  chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya  ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo, katika siku yake ya mwisho ya ziara yake ya Brazil. Wa pili kulia ni Makamu wa Rais wa chama hicho Bw Joao Guilherme Sabino Ometto na kushoto ni Mkurugenzi wa chama hicho Thomaz Zanotto na kulia ni Waziri wa kazi na Uwezeshaji Wanachi Kiuchumi na Ushirika wa Zanzibar Mh Haroun Ali Suleiman.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa chama cha wafanyabiashara na wawekezaji wakubwa wa nchi ya Brazil alipokutana nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi jijini Sao Paulo








No comments:

Post a Comment