Taarifa ya kujiuzulu kwa mawaziri ziliziripotiwa na vyombo vya haabri, Waziri Mkuu Mizengo pinda amesema yeye hazijui , alitoa auli hiyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa Kikao cha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa kama taarifa hizo zipo serikali itatoa taarifa rasmi jumatatu
No comments:
Post a Comment