maandamano ya wanafunzi wa shule za msingi Dodoma wakiingia katika Uwanja wa Jamhuri wakati wa uzinduzi wa wiki ya Elimu Duniani Kitaifa
baashi ya wanafunzi wakiwa kwenye maandamano
Wanafunzi wa Shule ya Msingi St John wakiingia kwa Gwaride
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa akiwaongoza baadhi ya wanafunzi kucheza kwaito
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Betty Mkwasa katika akienda sambamba na wanafunzi kucheza kwaito
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi pamoja na baadhi ya wengine viongozi wa mkoa wakicheza kwaito pamoja na wanafunzi
wanafunzi wakiwa kwenye jukwa kuu la Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (ELIMU), Kassim Majaliwa akipunga mkono kuyapokea maandamano ya wanafunzi wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Elimu Duniani Kitaifa uliofanyika mkoani Dodoma katika Uwanja wa Jamhuri jana. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema Nchimbi
No comments:
Post a Comment