Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kushoto) akisalimiana na MC Charles Mwakipesile ambaye pia ni mwandishi wa habari gazeti la Majira mkoani Mbeya
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiongozana na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT,Askofu Keneth Kasunga pamoja na waumini wengine wa kanisa hilo wakati wakitoka kwenye viwanja vya Hoteli ya High Class muda mfupi baada ya hafla fupi ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo,lililopo mjini Tunduma wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari mara baada kumalizika kwa tafrija hiyo.
No comments:
Post a Comment