Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu Adam Mwakanjuki mapema asubuhi katika kambi ya JWTZ ya Kikosi cha Anga kabla ya kupelekwa Zanzibar kwa mazishi
Askari wa Jeshi la wananchi wakiwa wamebeba Jeneza la Mwili wa marehemu Mwakanjuki



No comments:
Post a Comment