MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, October 15, 2011

Fainali ya Bongo Star Search

 Mshindi namba tatu , Waziri Saulum akitumbuiza wakati wa fainali ya Bongo Star Search iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jublee
 Mshindi namba mbili, Roggers akitumbuiza kwa gitaa lake
 Huyu ndiye aliyeibuka mshindi na kufanikiwa kunyakuwa Milioni 40 ni Mr Haji Ramadhani
 Mchecu naye alitumbuiza wakati wa fainali hizo
 Walioshiriki Bongo Star Search 2011 wakiwa katika picha ya pamoja
 Waziri Salum akitumbuiza
 Bella kombo aliyeshika namba 4 akitumbuza jukwaani kwa madaha

 Mr flaver akiwatumbuiza waliohudhuria katika fainali hizo
 Mambo ya mr flaver hayo kila mtu aliamua kuachia kiti na kufanya kweli


Mr Flaver akitumbuiza
Waziri salumu akiwa zawadi yake ya mshindi wa tatu ya Sh Milioni tano
Mshindi akiwa na koba lake lenye  milion 40

No comments:

Post a Comment