MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, October 12, 2011

Mazishi ya Bakar Harith Mwapachu mtoto wa Balozi Juma Mwapachu


Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dk Mohamed Gharib Bilali washiriki katika mazishi ya  marehemu Harith Mwapachu mtoto Balozi Juma Mwapachu yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment