| Wakinamama wajasiriamali wadogowadogo wa kijij cha Kitangari Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara,wakimsikiliza Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa hayupo pichani ,wakati wakisubiri kupatiwa mikopo yao ya fedha taslimu zinazotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini bila riba. |
No comments:
Post a Comment