Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mlimani wakiwa katika maandamano kwa ajili ya uzinduzi wa Sabuni mpya yenye kinga ya kuangamiza viini ya Safegurd
Picha nyingine hizo kundi maarufu la THT likitumbuiza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mlimani Dar es Salaam
Picha nyingine hizo ni kundi la wanamziki kutoka nyumba ya vipaji vya mziku THT wakitumbuiza wakati wa hafla ya uzinduzi huo wa sabuni
No comments:
Post a Comment