Waziri Mkuu, Mizengo Pindaakisalimiana na watoto baada ya kuongoza harambee ya siku ya mavuno kwenye kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es saalaa, Oktoba 30,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kiwa katika picha ya pamoja na watoto waliochangia katika harambee ya siku ya mavuno ya kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam Oktoba 10,2011.Kushoto kwake ni paroko wa kanisa hilo,Padri Joseph Mosha. (Picha na Ofii ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment