MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, November 1, 2011

MABENKI YATILIANA SAINI NA NHC UJENZI WA N YUMBA ZA BEI RAHISI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah
Mchechu akisaini hati za makubaliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya NBC,Lawrence Mafuru  kuhusu suala la mikopo ya nyumba jijini Da es
Salaam leo, Wanaoshuhudia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia
Kesogukewele Msita.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof Anna
Tibaijuka (katikati, nguo nyekundu), Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemiah
Mchechu (wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa
benki saba zilizosaini makubaliano ya ushirikiano na NHC.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah
  Mchechu (kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC,Lawrence
  Mafuru (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano   kuhusu suala la
  mikopo ya nyumba jijini Da es Salaam , Wanaoshuhudia ni Waziri wa
  Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka na
  Mwenyekiti wa Bodi ya NHC, Injinia Kesogukewele Msita.

No comments:

Post a Comment