MAWAZIRI WA MAZINGIRA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA NA BAN KI-MOON, RIO BRAZIL
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akiwa katika Picha ya pamoja ya
kumbukumbu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya
Huvisa (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Fatma
Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla ya chakula cha jioni,
iliyoandaliwa na Rais wa Brazil,....kwa viongozi waliohudhuria Mkutano wa Umoja
wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) uliomalizika mwishoni mwa wiki
Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil. Picha na- OMR
No comments:
Post a Comment