Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyania amesema anaomba radhi kama alisema maneno ya kwamba Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari Ulimboka alistahili kupigwa, ameendelea kusema kwamba anomba radhi kwa maneno hayo kwani yeye mwenyewe wakati akiwa amelazwa katika Hpspitali ya Taifa ya Muhimbili ni Madaktari hao ndiyo waliomuandika barua ya kwenda nchini India kwa matibabu
ameendelea kusema kwamba anamuomba radhi sana ulimboka na anamtakia afya njema na apone haraka
Ngonjani amelazimika kuwaita waandishi wa habari ili kuelezea kwa undani baada ya taarifa hizo kuandikwa katika mitandaon ya kijamii na kunukuliwa na gazeti moja la kila siku
No comments:
Post a Comment