MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, June 28, 2012

Wafanyakazi wa Airtel wachangia Damu

Coletta Ndumbalo  akijitolea damu katika zoezi la kuchangia damu
lililoandaliwa na kuhusisha wafanyakazi wa Airtel kuchangia damu kwa
mfuko wa taifa wa kuhifadhi damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa
wanaohitaji damu. Zoezi hilo la kuchangia damu lilifanyika jana siku
nzima katika makao makuu ya Airtel  Moroco jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment