Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema kitendo alichofanyiwa cha kupigwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Madakrtari, Stephen Ulimboka Serikali imekilaani sana na akaahidi suala zima la tukio hilo lazima uchunguzi utafanyike ili waliofanya waweze kubainika
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu Bungeni kinachofanyika kila siku ya Alhamisi
No comments:
Post a Comment