Wabunge leo wanatarajia kupitisha Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2012/13
Akiatngaza kabla ya kusitisha Shughuli za Bunge mjana, Spika wa Bunge Anne Makinda alisema anawatangazia Wabunge wote kuhudhuria jioni ili kuweza kupitisha Bajeti hiyo kwa pamoja, aliongeza kuwa wasipofanya hivyo wabunge wachache wataweza kupitisha Bajeti hiyo
No comments:
Post a Comment