Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie
Mangochie, akisistiza jambo wakati akikagua juzi mradi wa visima
vya maji unaotekelezwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika Kijiji cha
Mkolani I wilayani Geita, Katikati ni Mhandisi wa Maji wilayani Geita, Enock Kangasa Mradi huo
umegharimu milioni 25
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa
Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (aliyeweka miwani kifuani)
akifurahia jambo wakati Mkuu wa Wilaya ya Geita , Manzie Mangochie akijaribu
moja ya pump ya visima vya maji katika mradi unaojengwa kwa sh. milioni 25 na TBL
katika Kijiji cha Mkolani I, Geita, viongozi hao walikwenda kukagua mradi huo
juzi.
Mkandarasi wa mradi wa visima vya
maji, Enock Kangasa akisukuma pump ya moja ya visima vya maji mbele ya
Mkuu wa Wilaya ya Geita Manzie Mangochie (kushoto), kilichojengwa kwa msaada
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kwa gharama ya sh. milioni 25 katika Kijiji cha
Mkolani I, wilayani Geita juzi
RAIS DK.JAKAYA KIKWETE AMPOKEA RAIS WA JAMHURI YA KIARABU YA SAHRAWI
No comments:
Post a Comment