Serikali imetowa wito kwa wamiliki wa vyombo vya habari kuajiri wanahabari wenye taaluma
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Amoss Makala wakati akijibu maswali Bungeni katika wa Kipindi cha maswali na mahjibu, ili wanahabari wafanye kazi kwa weredi unaotakiwa wamiliki hao hawana budi kuajiri waandishi wenye taaruma pamoja na kuwalipa vizuri ili waweze kuepuka na vitendo vya rushwa
No comments:
Post a Comment