MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, July 11, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA SINCHUAN HONGDA GROUP KUTOKA CHINA


Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti aliyeongoza Ujumbe Kutoka Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu, wakati ujumbe huo ulipofiak ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo
Makamu wa Rais wa Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya Picha wakati akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti  wa Umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu  (katikati) na Mjumbe, Liu Canglang,  wakati ujumbe huo ulipofiaka ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo

Makamu wa Rais. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika Picha ya pamoja na Ujumbe wa Hongda Group, kutoka Beijing China, baada ya mazungumzo  yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, leo Julai 12

No comments:

Post a Comment