MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, July 5, 2012

Rais Jakaya Kikwete akutana na Viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Ikulu


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa  wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.

No comments:

Post a Comment