WAREMBO WA MISS VYUO VIKUU TANZANIA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE
Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo
Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club Dar es Salaam wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao
walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma leo
No comments:
Post a Comment