Kufuatia kuzama kwa Meli ya Mv Skagit na kupoteza vifo vya watu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi wa Seriakali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad amejiuzuru wadhifa huo leo
Kufuatia barua aliyomwandikia Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar ya Tarehe 20/7 2012 Dk. Ali Mohamed Shein na Rais kuridhaia na Swala hilo la kujiuzulu amelazimika kumteua, Mwakilishi wa jimbo la Ziwani (CUF), Rashid Seif Suleimani katika wadhifa huo
No comments:
Post a Comment