MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, September 2, 2012

Mchezo kati ya Simba na Nairobi City kutoka nchini kenya

Uhuru Selemani a,kiwa maeruka tiktaki kujaribu kufunga goli wakati wa mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abei jijini Arusha timu zote zilitoka sare ya bila kufungana

Mrisho Ngassa (kulia) na Mwinyikazimoto wakiwania mpira kwa beki wa timu ya Nairobi City

Beki mpya wa timu ya Simba, Kobil Keita akiokoa moja ya hatari

No comments:

Post a Comment