Friday, September 21, 2012
TBL yakabidhi mabasi kwa timu za Simba na Yanga
Hilo ndiLO Basi la Yanga
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifurahia basi la timu hiyo kabla ya kukabisdhiwa na Kampuni ya TBL ambao nndiyo wadhamini wakuu wa timu hizo kupitia Kilimanjaro Lager
Mashabiki wa Simba wakicheza na kufurahi wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa mabasi
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akicheza na kufurahi na mashabiki wa timu hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi mabasi kwa timu ya Simba na Yanga
Mjumbe wa Kamati ya utendaji ya timu ya Yanga Mohamed Binda akiwa sambamba na mashabiki wa timu hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi mabasi kwa timu ya Simba na Yanga
Mashabi wa Simba na Yanga wakicheza na kufurahi pamoja wakati wa hafla ya kukabidhiwa mabasi kwa ajili ya wachezaji wakati wa hafla iliyofanyika makao makuu, Dar es Salaam jana.
Mabasi hayo yalivyondani
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLB, Robin Goetzsche akibadilisha mkataba na Mwenyekiti wa Klabu ya Simba
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLB, Robin Goetzsche akibadilishana mkataba na Katibu Mkuu wa Klabu ya Yanga, Celestine Mwesigwa
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLB, Robin Goetzsch, akisaini mpira Kushoto ni Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLB, Robin Goetzsch, akimkabidhi mfano wa Ufunguo, Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya TLB, Robin Goetzsch akimkabidhi mfano wa Ufunguo, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Chlent Sanga
Mashabiki wa Simba na Yanga wakiwa wameyazunguka mabasi baada ya kukabidhiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment