MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, September 19, 2012

Simba yaendeleza kichapo Taifa

Mashabi wa timu ya Simba ya Dar es Salaam leo tena wameendelea kufurahishwa na timu yao baada ya kuendeleza kipigo kwa timu ya Jkt Ruvu kwa kuifunga goli mbili kwa bila mabao yakiwa  yamezamishwa na Amri Kiemba na Haruna Moshi 'Bobani'
 Na huko Morogoro timu ya Yanga ya Dar es Salaam imejikuta ikichapwa goli tatu kwa bila na timu ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro

No comments:

Post a Comment