MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, September 18, 2012

Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makala akwama kuonyeshwa Studio ya wasanii iliyokabidhiwa na Rais Jakaya Kikwete

 Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (kulia) aklizungumza na Viongozi wa Umoja wa wasanii Tanzania (TFU). Kutoka kushoto ni Msemaji wa Umoja huo, Said Fella, Mweka hazina, Mwansiti Almas, Ofisa Mtendaji Mkuu, Khamis Mwinijuma 'Mwana FA' na Mkurugenzi wa THT Ruge Mtahaba
 Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makalla (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa THT, Ruge Mtahaba
Naibu Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Amos Makala (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa THT, Ruge Mtahaba(katikati) wakati alipofanya ziara ya kutembelea Studio ya wasanii iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment