Mkazi wa Bunju anaomba wasamaria wema msaada wa matibabu
Mkazi wa Bunju nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Mama
Veronica Laurent,, akiwa na Mtoto wake, Godfrey John
aliyetobolewa sehemu ya tumbo kwa ajili ya kutolea haja kubwa kutokana na
kuzaliwa bila sehemu ya kutolea haja kubwa. Mama Veronica alifika katika Ofisi
za Gazeti la Mtanzania Sinza Kijiweni, Dar es Salaam kwa ajili ya
kuandikiwa makala ili aombe msaada kwa wasamaria wema ili apate fedha
zakumfanyia oparesheni nchini India mtoto wake huyo
No comments:
Post a Comment