Viongozi na baadhi ya wananchi
wakiomba dua baada ya kumaliza Swala ya Iddi El Hajji ilioswaliwa katika
Msikiti wa Mwembe Shauri Masjid Mushawwar Zanzibar jana.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akishiriki katika swala
ya Iddi katika Msikiti wa Masjid Rajab
kijijini kwake Msoga-Chalinze mkoani Pwani jana
Mfanyabiashara
wa Mbunzi eneo la Vingunguti Dar es Salaam akimuonyesha Mbuzi kwa wateja kwa
ajili ya kuchinja wakati wa Sikukuu ya Idd El Haji iliyosherehekewa Dunia kote na waumini wa dini ya Kiislamu
jana.Mbuzi mmoja alikuwa anauzwa kati ya Sh 80,000 hadi 130, 000
Mkazi
wa Vingunguti, Dar es Salaam akichinja Mbuzi ikiwa ni kusherehekea Sikukuu ya
Eid El Haji iliyosherehekewa Dunia kote na waumini wa dini ya Kiislamu jana
Mbuzi akichunwa tayari kwa maandalizi ya Sikukuu ya Eid El Haji
No comments:
Post a Comment