MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, October 26, 2012

EID MBARAKA

Tuendeleze amani tulioachiwa na waasisi wa Taifa hili, pasiwepo na Mtu yeyote, kikundi au Taasisi yoyote inayoweza kuturubuni ili tusiendeleze amani iliyopo hivi sasa. Mwendeshaji wa Blog hii ya AMANITANZANIA anawatakia waumini wote wa dini ya Kiislam, Eid Mbraka na Sikukuu njema tusherekehe sote kwa  Amani na `utulivu.

No comments:

Post a Comment