Bunge laondoa hoja binafsi za wabunge zilizokuwa ziwasilishwe leo Bungeni mjini Dodoma katika Mkutano wa tisa, akizungumza Bungeni mjini Dodoma leo Spika wa Bunge, Anne Makinda amesema kutokana na muda mchache uliobaki kabla ya kuahirisha Bunge isinge kuwa vyema hoja hizo ziwalisilishwe na kujadiliwa, aliongeza kwa kusema kuwa yeye anatumia Kanuni ya 30 ya kuziondo hoja hizo ili zipangiwe katika Kikao kijacho
No comments:
Post a Comment