Kilimanjaro Stars wakiwa mazoezi katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Makerere kampasi ya Chuo cha biashara. Kilimanjaro Stars kesho inacheza na Sudani katika michuano ya Chalenji inayofanyika nchini Uganda
Mwinyi kazimito wa Kilimanjaro Stars (kushoto) akiwania mpira na wachezaji wenzake wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Makerere kampasi ya Chuo cha biashara
No comments:
Post a Comment