MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, November 23, 2012

Kilimanjaro Stars wawasili Uganda

 wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda baada ya kuwasili kwa ajili ya michuano ya Chalenji inayotarajia kutimua vumbi leo katika Uwanja wa Nambole

No comments:

Post a Comment