MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, November 22, 2012

Kinana atua Rukwa

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana akisalimiana na wakazi wa Rukwa. katika ni Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nahye
 Nape akifurahi na watoto

 Msafara wa Pikipiki uliompokea Katibu Mkuu Kinana
Kinana akifungua Tawi

No comments:

Post a Comment