MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, November 9, 2012

Lowassa ahudhuri Bunge

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiteta jambo na Mbunge wa viti maalum (CCM) Diana Chilolo ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo

No comments:

Post a Comment