Mchoro wa Jengo jipya ya Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi yanayotarajia kujengwa mkoani Dodoma eneo la Makuru, ambapo Mwenyekiti wa Chama hicho Jakaya kikwete aliweka jiwe la Msingi jana
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Jakaya Kikwete (katikati) akiongozana na viongozi wengine kwenda kufungua Mkutano wa nane wa Chama hicho mkoani Dodoma
Mwenyekiti wa CCM na Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Salmin Amour
Mama Maria Nyerere (kushoto) na Mwana Mwema Shein wakiwaongoza wake za viongozi kuingia katika Ukumbi wa Kizota kuhudhuria Mkutano wa Nane wa CC
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaoendelea mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment