MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, November 17, 2012

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Arejea alakiwa kwa shangwe



Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Madabida na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe Philip Mangula mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Bw Madabida na mkuu wa mkoa huo Mhe Said Mecky Sadik


Rais Jakaya Kikwete akipokewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kurejea akitokea Arusha alikokuwa katika ziara ya siku mbili ya kikazi na kabla ya hapo alikuwa Dodoma ambako alichaguliwa tena kuongoza CCM kwa miaka mingine mitano


No comments:

Post a Comment