MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, November 17, 2012

Maonyesho ya tatu ya maonyesho ya wake za mabalozi



Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiangalia moja ya kitabu kilichokuwa katika banda wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye ya tatu ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo Nov 17, 2012. Picha na OMR




Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa amevishwa urembo na Miss Tanzania 2008, Nasreen Karim, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho ya taty ya wake wa Mabalozi, yaliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Kimataifa 'International School' Masaki leo Nov 17, 2012. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment