Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania Limited ya kuhudumia Ndege, Gaudenc Temu wa Pili kutoka (kushoto) akizungumza na baadhi ya wateja wao wanaofanyakazi kwa pamoja wakati wa Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya kuwashukuru wateja wao na kuweza kuzungumza kwa pamoja na vilevile kuelezea mipango ya baadaye ya Kampuni hiyo inayotarajiwa kufanywa kwa ajili ya kuboresha zaidi utendaji kazi
Baadhi ya wateja wanaofanyakazi na Kampuni ya Swissport Tanzania wakisaini kwenye kitabu wakati wa Chakula cha jioni kilichoandaliwa na Kampuni hiyo katika Hotel ya Serena, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Swissport Tanzania
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania, Gaudenc Temu, akizungumza
Baadhi ya wateja wa Kampuni ya Swissport Tanzania na wafanyakazi wakipata chakula
Baada ya chakula wateja wa Kampuni ya Swissport Tanzania na baadhi ya wafanyakazi walijikumbusha kucheza mziki baada ya kupata chakula
Ofisa Mtenda MKuu wa Kampuni ya Swissport Tanzania, Gaudenc Temu akiagana na wateja wa Kampuni hiyo baada ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ajili ya wateja hao
No comments:
Post a Comment