Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipozi na wasichana waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya
kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru
Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa
Kasarani
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe
Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake William Ruto katika uwanja wa
michezo wa Kasarani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
saini kitabu cha wageni baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake
Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama
Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama
pembeni na wenyeji wao
No comments:
Post a Comment