Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali, akitoa heshima za mwisho kwenye Jeneza lenye mwili Jenelali, Makame Rashid alifariki juzi katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali, akisaini Kitabu cha maombolezo.
Kutoka kushoto, Rais mstaafu, Benjamini Willian Mkapa, Mkuu wa Majeshi, Generali, Davis Mwamunyange, Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassani Mwinyi
Askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania wakiwa wamebeba Jeneza
Askari wa JWTZ akiweka kofia wakati wa kutoa heshima za mwisho
Makamu wa Rais Dk, Mohamed Ghalib Bilali akisalimiana na jamaa ndugu wa marehemu.
Mkapa akitoa heshima za mwisho
Katibu Kiongozi, Ombeni Sefue akisalimia jamaa ndugu na marafiki
Mkuu wa Majeshi, Jenereali, Davis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho
Jamaa, ndugu na marafiki wakiwa kwenye msiba
No comments:
Post a Comment