MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 14, 2013

SIMBA YATOKA SARE 2-2 NA AZAM FC

 Mchezaji wa Azam John David (kushoto) akiondoa mpira eneo la hatari huku mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akijaribu kumkaba wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katikaUwanja wa Taifa Dar es Salaam. timu zot zilifungana 2-2




Wachezaji wa Simba wakishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kupa gori dhidi ya Azam wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment