MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 14, 2013

MKUU WA UPELELEZI MAKOSA YA JINAI MKOANI GEITA AFARIKA DUNIA KWA AJALI

 Gari ndogo aina ya salon alilokuwa nalo marehemu,Magnus Mng'ong'o
 Hili ndilo Fuso lililogongana uso kwa uso na aliyokuwamo Mkuu wa Upelelezi marehemuMagnus Mng'ong'o
mamia ya wakazi wa mji wa Geita waiaga mwili wa marehemu muda mfupi kabla ya kusafirishwa.

No comments:

Post a Comment