Rais Jakaya Kikwete, Kamishina wa Baraza la Umoja wa Baraza la Amani la Umoja wa Afrika (AU), Ramtane Lamamra na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe wakiwa katika Mkutano wa 368 wa Baraza hilo uliofnunguliwa na Rais
Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa 368 wa Baraza la Amani la Usalama wa Umoja wa Afrika (AU),. Kulia ni Kamishina wa Baraza hilo, Ramtane Lamamra
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mjumbe wa Umoja huo Joachim Chisano
Rais Jakaya kikwete akisaliana na wajumbe wa Mkutano wa Mkutano huo
No comments:
Post a Comment