MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, April 12, 2013

TAMASHA LA KIGODA CHA TAALUM CHA MWALIMU NYERERE LAMALIZIKA

 Washiriki wa Tamasha la Kigoda cha Taaluma cha Mwalimu Nyerere wakiwa katika Ukumbi wa Nkuruma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
 Jaji Mkuu wa Kenya, Dk. William Mtungi akizungumza wakati wa Tamasha hilo.
Mbunge wa Kigoma kaskazini, Zitto Kabwe akizungumza wakati wa Tamasha hilon (katikati) ni Jenerali Ulimwengu
Mwanasiasa Mkongwe, Kingunge Ngomable Mwiru akizungumza wakati wa Tamasha hilo, ambapo alizungumzia kuhusu misingi ya Miiko ya Uongozi iliyowekwa wakati wa Azmio la Arusha na vilevile akitoa rai kwa viongozi kufuata miiko hiyo ambayo bado haijafutwa,

No comments:

Post a Comment