Raia wa kigeni akielewana bei na Mwendesha Pikipiki ya Miguu mitatu (Bajaji) eneo la Sayansi karibu na kituo cha mabasi ya Daladala jijini, Dar es Salaam. Usafiri huu umekuwa maarufu ukilinganisha na kipindi cha nyuma ambapo Pikipiki hizi zilikuwa zinatumiwa sana na wtu wenye ulemavu
No comments:
Post a Comment